YANGA WAPOKELEWA KWA SHANGWE AIR PORT. 11:35:00 AM w 0 Michezo Kitaifa A+ A- Print Email Mashabiki wa Yanga wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kuipokea timu yao ambayo imewasili leo ikitokea Comoro ambako iliitwanga Ngaya kwa mabao 5-1 katika mechi ya kwanza ya Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika.
Post a Comment
karibu kwa maoni