0
Image may contain: 5 people, people standingMbunge wa jimbo la Monduli [CHADEMA] ametoa ujumbe  kutoka kitabu takatifu [BIBLIA] akiwakumbusha watu kuacha tabia ya kuchukua vya wanyonge.
Ili kufikisha ujumbe huo kikamilifu akaamua kunukuu maneno haya.

www.facebook.com/kalanga" Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
Luk.3.14

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top