Halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara inasikitika kutangaza kifo cha Mtendaji wa mtaa aa Komoto Christopher Baynit aliefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 3 March 2017 katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Manyara alipokuwa akiapatiwa matibabu mara baada ya kuugua ghafla jana.
Ndugu kwa kushirikiana na Halmashuri ya mji wa Babati inafanya Mpango wa mazishi inayotarajiwa kufanyika nyumbani kwake katika kijiji cha Sigino Babati.
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

Post a Comment
karibu kwa maoni