0
Muimbaji na mtayrishaji wa nyimbo na filamu kutoka Babati Manyara DMB mwenye studio zakr mjini Babati MAISAKA RECORDS ameibuka mtandaoni na kupost ujumbe ambao unaonyesha wazi kuwa kuna jambo lililogusa moyo wake.
Katika ukurasa wake wa Facebook  makali huyo amepost kile kinachoelezwa ni ukweli mtupu kutoka kwa mpenzi wake anaejulikana kwa jina la Najma aliezaa naye.

Dmb'squad Michael Freestiler amepost
 Naupenda mziki napia naujali ila najuta kuoa na kumpa mimba kichaa
Ukweli ni kwamba DMB amezaa na msichana huyo lakini alipoulizwa kuhusu mtoto huyo Najma alisema kuwa hamjui DMB na wala hakuwahi kuzaa nae huyo mtoto ni wa Baba mwingine kabisaaaaa akionyesha na kadi ya kliniki ikiwa ina majina tofauti kabisaaaaaaaa.......kazi ipo kweli kweli.......ukweli unaofahamika kutoka katika Blog hii ni kwamba msichana huyo alishaishi na DMB kwa muda mrefu na inaaminika kabisaaa kuwa mtoto ni wa mtayarishaji huyo kutoka MAISAKA RECORD licha ya NAJMA kumkana.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top