0
italyMechi za kufuzu fainali za kombe la Dunia 2018 hatua ya Makundi zimepigwa hapo jana jumapili ambapo Moldova imetoka sare na Georgia ya bao 2-2, Finland imechapwa bao 2-1 na Ukraine, Ireland imetoshana nguvu na Austria ya bao 1-1, Israel imechapwa bao 3-0 na Albania, Iceland imeichapa Croatia bao 1-0 ,Macedonia imefungwa bao 2-1 na Hispania, Italy ikiibugiza Liechtenstein bao 5-0, Serbia walitoka sare na Wales ya bao 1-1 ,Kosovo imechabangwa bao 4-1 na Uturuki.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top