Kada maarufu
wa CHADEMA Mwanza ambaye pia aliwahi kugombea Ubunge
Jimbo la Sengerema Hamis Tabasamu amerudisha kadi ya
chama hicho na kujiunga rasmi CCM mbele ya Rais Magufuli.
Tabasamu ameomba radhi kwa uwongo aliokuwa
akisema kuhusu Serikali wakati yupo CHADEMA huku akisisitiza kuwa
amerudi CCM kutokana na kuvutiwa na utendaji wa Rais Magufuli baada ya kushughulikia masuala
mbalimbali ikiwemo issue ya madini na kuzuia kitu ambacho aliwahi kukipigia
kelele.
Rais Magufuli amekamilisha ziara yake ya kikazi ya siku mbili mkoani Mwanza iliyoanza jana.
Post a Comment
karibu kwa maoni