Mke wa Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru, Peras amefariki dunia
mchana huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa
matibabu.
Mkwe wa marehemu ajulikanaye kama Anita katika akaunti yake ya Snapchat ameandika ujumbe usemao “R.I.P mama yangu, asante kwa yote, Mungu akupumzishe mahala pema peponi.”
Post a Comment
karibu kwa maoni