Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Bw. Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya
Biashara (Saba saba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya
Kilwa, Jijini Dar es salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dorothy Mwanyika (kushoto) akipokea
kitabu kutoka Taasisi ya Uhasibu Arusha (T) (IAA) alipotembelea banda la Wizara
ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara (Saba saba)
yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es
salaam.
Post a Comment
karibu kwa maoni