CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kupeleka salamu kwa wagombea wa
nafasi mbalimbali, wanaokiuka Katiba na Kanuni za Uchaguzi, baada ya
kufuta uchaguzi wa ndani ya chama hicho katika kata 41 kati ya kata
4,420 zinazoshiriki katika uchaguzi huo, kutokana na kubaini mchezo
mchafu na kuagiza mchakato kurejewa upya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
karibu kwa maoni