0
Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Rais wa TLS na Mwanasheria wa CHADEMA amekua akishikiliwa na Polisi kwa siku mbili ambapo ilidaiwa na CHADEMA kwamba ni makosa mawili yaliyofanya akamatwe likiwemo moja la uchochezi.
Taarifa za jioni hii ni kwamba Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana na Polisi baada ya kumshikilia kwa hizo siku mbili tangu alipokamatwa ghafla August 22, 2017.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top