Kamanda wa polisi Dodoma Gilles Muroto
amesema taarifa za awali zinaonesha kuna gari nyeupe aina ya nissan lilikuwa
likimfuatilia .

Kwa upande wake mkuu wa mkoa wa
Dodoma Jordan Rugimbana amewataka wananchi kuwa watulivu wakisubiri taarifa za
jeshi la polisi na madaktari wanaoendelea na matibabu ya mbunge huyo.

Naye
mganga mkuu wa Dodoma James Charlse Kiologwe amesema Lissu yu hai na
imara.amesema mbunge huyo amepigwa risasi tumboni na kwamba timu ya madaktari
inaendelea na matibabu.

Post a Comment
karibu kwa maoni