Tunapenda kuchukua fursa hii kushukuru kwanza Mwenyezi
Mungu aliyetupa pumzi hii bure Mpaka leo na pili kuwashukuru Wadau wote
sana, kwa support yenu kubwa sana mnayompatia kijana wenu, Msani wenu
Joe Marijani. Oktoba 10,2017 Msani wenu Joe Marijani anatupa
burudani mpya inayokwenda kwa jina "Make Money" ikiwa ni nyimbo ya
Mwisho kutoka katika Album yake Mpya ilitoka Tarehe 1.7.2017 inayokwenda
kwa Jina LA "MONEY LOVE POLITCS" (MLP), inayoendelea kufanya vizuri
sana kwenye soko LA Album la Dunia kama Tidal, Sportfy, Apple music,
ITunes, Amazon,Google store n.k.
Tunaomba support zenu zaidi ili tuendelee kuwakilisha vizuri na kutoa burudani Kali zaidi tunawaahidi Hatutowangusha.
#SambazaMzikiMzuri
imeandikwa na
A
For UP DATE MUSIC
Post a Comment
karibu kwa maoni
EmoticonClick to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.