0
Ni katika kijiji cha Matufa kilichopo kata ya Magugu wilayani Babati mkoani Manyara ambapo kijana mmoja aliejizoesha kuchungulia watu wakiwa faragha amedakwa akiwa katika kazi yake hiyo aliyojizoesha tangu utoto wake.

Kijana huyo amekuwa akiwafuatilia zaidi wakina mama wenye maumbile makubwa na wapenzi wanapokuwa katika starehe zao,na amekuwa akifanya hivyo kwa nyakati zote.

Mwenyekiti wa Kijiji hicho Ramadhani Mangi Mngoya anasema walipomhoji alikiri kufanya hivyo kwa muda mrefu huku akiahidi kuwa hatorudia tabia hiyo.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top