0
Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Hai Mohamed Msalu amejivua uanachama na kujiunga na Chama cha Mapinduzi [CCM].
Wakati huo huo, Bwana Chanyeghea aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bumbuli 2015 kupitia CHADEMA naye ameamua  kuhamia CCM.
Ikumbukwe kwamba anapotoka katibu mwenezi huyo wa CHADEMA ndilo jimbo linaloshikiliwa na Mwenyekiti Taifa  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top