mfupi baada ya muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu kutangaza jana
jioni kuwa ameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM), Katibu wa Itikadi
na Uenezi Humphrey Polepole alisema chama hicho hakina taarifa rasmi
kuhusu Wema kutaka kurudi.
Mudamfupi baada ya muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu kutangaza jana
jioni kuwa ameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM), Katibu wa Itikadi
na Uenezi Humphrey Polepole alisema chama hicho hakina taarifa rasmi
kuhusu Wema kutaka kurudi.
Post a Comment
karibu kwa maoni