0

Mwenyekiti wa Kamati iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuchunguza biashara ya madini ya
Tanzanite ambaye ni Waziri wa
Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akisalimiana jijini Dar es
salaam leo Januari 17, 2018 na wawakilishi wa kampuni ya Tanzanite One
kabla ya kuanza na mazungumzo ambayo yanalenga kuhakikisha Tanzania inanufaika
ipasavyo na rasilimali ya madini hayo ambayo yanachimbwa nchini Tanzania pekee.
index

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top