Mvua kubwa iliyonyesha wilayani Hanang mkoani Manyara tarehe 14.1.2018 imesbabisha mafuriko makubwa na kuzuia bara bara kupitika.
Ilibidi watu kusubiri mpaka maji yapungue ndipo waendelee na shuguli zao.
Hata hivyo kwa sasa ni maeneo mengi ndani ya mkoa wa Manyara mvua zinaendelea kunyesha huku katika baadhi ya Maeneo ikileta maafa.

Post a Comment
karibu kwa maoni