0
 Matukio ya shughuli mbalimbali za Usajili Vitambulisho vya Taifa Likiendelea Halmashauri ya MBULU mkoani MANYARA katika Kata za Daudi, Marang, Gidamba, Gehandu na Titiwi.


 Wasimamizi wa zoezi hili la uandikishaji mkoani Manyara wanawaomba wananchi wajitokeze kwa wingi katika vituo vilivyopo kwenye kata,mitaa,vijiji vyao ili kuweza kurahisisha uandikishaji huo.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top