0

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amekutana na kuzungumza na diwani wa kata ya Ngarenaro Mheshimiwa Doita Harry wa Chadema  jimbo la Arusha mjini linaloongozwa na mbunge wa CHADEMA Godbless Lema.
Japo hakutaja walichokizungumza mkuu wa mkoa Gambo kwenye ukurasa wake aliandika 'Leo nimekutana na diwani wa Chadema kata ya Ngarenaro Mhe Doita tumezungumza mengi!
Mrisho Gambo alimalizia hivyo na kuweka alama ya mshangao,lakini wengi walioweka Comment wakihoji kuwa anahamia lini??No automatic alt text available.
Mpaka sasa Madiwani wa Chadema mkoa wa Arusha zaidi ya watano wamehamia Ccm.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top