0
Image result for young killerMichano yenye utata ndani yake ya msanii anaefanya miondoko ya HIP HOP Young killer  imekuwa ikiwachanganya wengi,kwa sasa Young Killer A.K.A Msodoki baada ya kutamba na usemi 'Pambana na hali yako',amekuja na usemi usemao wasanii wote wa Bongo Fleva wana-wake,anamalizia kwa kusema nisaidieni na mimi kupata. msikilize hapa akichana wakati wa mahojiano studio za Nyemo 97.7 Dodoma, Paperenyo na Snady Boy.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top