0


Image result for simba vs yangaKuelekea harakati za ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2017/18, hizi ni mechi 10 zilizosalia kwa Simba kumaliza mzunguko huu wa pili.

Mtibwa Sugar (Ugenini)
Njombe Mji FC (Ugenini)
Yanga (Nyumbani)
Mbeya City FC (Nyumbani)
Tanzania Prisons FC (Nyumbani)
Lipuli FC (Ugenini)
Ndanda FC (Nyumbani)
Singida United FC (Ugenini)
Kagera Sugar (Nyumbani) na
Majimaji FC (Ugenini)

 Kwa upande wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2017/18, hizi ni mechi 9 zilizosalia kwa Yanga kumaliza mzunguko huu wa pili.

Mtibwa Sugar (Ugenini)
Simba SC (Ugenini)
Singida United (Nyumbani)
Mbeya City (Ugenini)
Tanzania Prisons (Ugenini)
Mbao FC (Nyumbani)
Mwadui FC (Ugenini)
Ruvu Shooting FC (Nyumbani) na
Azam FC (Nyumbani)

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top