0
Image result for mwijage
Waziri wa viwanda,biashara na uwekezaji Charles Mwijage amesema lengo la serikali ni kuhakikisha sukari inayozalishwa hapa nchini inauzika huku akieleza kuwa watazuia sukari inayoingizwa nchini kutoka nje ya nchi au kupandisha kodi zaidi.
Ameyazungumza hayo baada kutembelea Kiwanda cha Sukari Manyara Sugar kilichopo katika wilaya ya Babati mkoani Manyara.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top