Tanesco
makao makuu wamekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya
kijamii kuwa kutakuwa na mabadiliko katika ununuaji wa Luku kupitia
taasisi za kibenki na mitandao ya simu pamoja na mawakala.
Jesson Manase ni
meneja Tanesco mkoa wa Manyara anaeleza kuwa hakuna mabadiliko yeyote kwa
wateja wao kwa sasa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
karibu kwa maoni