
Awali,
Lowassa na Sumaye waliondoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya muasisi wa
Chadema, Victor Kimesera.
Hadi
mmchana huu watuhumiwa wote wakiongozwa na Mh. Freeman Mbowe ambao wapo
gerezani Segerea waliokuwa waletwe Kisutu, hawajaletwa
Baada ya sintofahamu ya kutofikishwa mahakamani kwa viongozi hao, mahakama ilisema itatoa uamuzi mchana huu.
Hatua
hiyo imekuja baada ya mawakili wa pande zote mbili, kuingia kwa Hakimu
Mkazi, Wilbard Mashauri anayesikiliza shauri hilo na kukubaliana nini
cha kufanya.
Post a Comment
karibu kwa maoni