
Wabunge na madiwani wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema
wameandamana kuja ubalozi wa Ulaya kuja kuomba uangalizi wa usalama wakihofia
usalama wa maisha yao lakini pia kuomba haki ya dhamana kwenye kesi
inayowakabili viongozi wakuu wa chama hicho.
Post a Comment
karibu kwa maoni