0

Muigizaji wa kike nchini Tanzania  Monalisa ameshinda tuzo ya muigizaji bora w kike zilizotolewa nchini Ghana.
Monalisa aliondoka Tanzania kwenda Ghana katika tuzo za African Prestigious baada ya kupewa tiketi ya safari na bendera ya Tanzania kutoka wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha nchi.

Good News ikufikie kuwa Monalisa amefanikiwa kuibuka mshindi wa tuzo Best African Female Movie Star 2018 ambako alikuwa akishindanishwa na wasanii kutoka Ghana na Nigeria, imeripotiwa kuwa Ray Kigosi nae ameibuka mshindi wa Best African Male Movie Star 2018.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top