0
Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison G. Mwakyembe (Mb) leo tarehe 30 Aprili, 2018 amewatembelea Wanasaa nguli wa ubunifu wa mitindo na mavazi nchini Bi Ailinda Sawe na mumewe Merinyo Ndesumbuka kujionea kazi wanazozifanya. 
Akiwa kwenye ofisi zao Afrika Sana Dk Mwakyembe amejionea kazi mbalimbali za sanaa. Dk Mwakyembe ameipongeza kampuni ya Afrika Sana kwa kuendeleza tasnia ya ubunifu wa mitindo mavazi kwa miaka mingi hadi kupelekea mtaa uliopo duka la mauzo kuitwa Afrika Sana.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top