0
Mfanyabiashara
maarufu na mzazi mwenza wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz,
Zarinah Hassan amethibitisha kuwa yeye ni Bosslady kweli baada ya kuweka
wazi kuwa amenunua gari aina ya Range Rover lenye thamani ya shilingi
milioni 171,337,500.

Zari
alitangaza mpango wake wa kununua gari hilo wiki chache zilizopita na
hatimaye wikiendi hii alilianika gari hilo jipya na kuliweka Kwenye
mitandao ya kijamii.

Mara
baada ya kuweka gari hilo kuna habari zilizuka kuwa amenunuliwa gari
hilo na mpenzi wake taarifa alizozikana na kuweka wazi kuwa amenunua
gari lile kwa hela zake mwenyewe.

Lakini pia Zari ameweka wazi mipango yake ya kuanzisha Food franchise kama vile KFC au McDonalds.


06579325000 KWA TANGAZO.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top