Wakati nusu fainali ligi daraja la Tatu mkoa wa Manyara ikianza leo katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid timu ya jeshi la polisi imesema haitakubali mchezo wa kesho uendelee kwani wamefanyiwa ndivyo sivyo wakimtupia lawama mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Manyara [MARFA] Fortunatus Kalewa kwa kuipindua rufaa yao.
Akizungumza na Manyara Fm Pastory Athanas kiongozi wa Usalama Fc amesema watafika uwanjani hapo kesho kuzuia mchezo kati ya Mererani na Songa kwani ulikuwa uwe mchezo wao.
BARUA ZENYEWE HIZI HAPA KUHUSU RUFAA HIYO.

Post a Comment
karibu kwa maoni