0

Mkurugenzi Mkuu wa Wakfu wa Vyombo vya Habari nchini (TMF), Ernest Sungura, akiwasilisha mada kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, lilinalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.
Kwa mkoa wa Manyara maadhimisho hayo yanafanyika mjini Babati katika Hotel ya White Rose ambapo mgeni rasmi ni mkuu wa Wilaya ya Babati Eng. Raymond Mushi akimwakilisha mkuu wa mkoa wa Manyara Dk. Joel Bendera.
Mwenyekiti wa umoja wa waandishi wa Habari Mkoa wa Manyara Charles Masayanyika amewataka wana habari kutumia kalamu zao vizuri akiwakumbusha kuanadika habari bila kuegemea upande mmoja.

MSIKILIZE HAPA
.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top