
Waziri Dk
Harisson Mwakyembe akisalimiana na Mchezaji Wayne Rooey wa timu ya
Everton ya Uingereza inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo EPL mara baada ya
kikosi hicho kuwasi;li kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu JNIA jijini
Dar es salaam Everton inatarajiwa kushuka dimbani kesho kwenye uwanja wa
Taifa kumenyana na timu ya Golmahia ya Kenya mchezo ulioandaliwa na
kampuni ya SportPesa.

Baadhi ya viongozi na wachezaji wa timu hiyo wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili jijini Dar es salaam asubuhi hii

KIkosi
cha timu ya Everton ya Uingereza kikiwa katika picha ya pamoja wakati
kikishuka kwenye ndege iliyoileta timu hiyo kwenye uwanja wa Ndege wa
JNIA jijini Dar es salaam
Post a Comment
karibu kwa maoni