WAANDISHI wa habari mkoani Manyara,
wameaswa kuwa chachu ya maendeleo kwa kufanya kazi ya kuibua changamoto
zinazowakabili weananchi
Akizungumza hayo wakati wa kufungua
kikao maalum cha waandishi wa habari kilichofanyika mjini Mbulu, mkurugenzi wa
mji wa Mbulu, Bi. Anna Mbogo, aliwataka waandishi wa habari kuwasaidia wananchi
katika nyanja mbalimbali
"Waandishi andikeni habari za
kuwasaidia wananchi kuondokana na adha ili kuzijua fursa zao mbalimbali
zitakazowasaidia kuondokana na changamoto na hata kufikiwa maendeleo
tarajiwa"
Akizungumza na wanahabari hao,
wakati wa kufunga kikao hicho, Mkurugenzi wa halamshauri ya Mbulu vijijini,
Hadson Kimoga, ambaye alikuwa mwandishi, aliwataka waandishi kuwa na utamaduni
wa kukosoa kwa lengo la kujenga
"Tuwe wana Manyara, hata mambo
yetu tunayoandika,hata kama tunakosoa..tumkosoe mtu kwa kujenga ( be creatcise
in contractive)"
Kuhusu maslahi ya waandishi wa
habari, Mkuruhenzi Kamoga aliutaka uongozi huo kuwa na utamaduni wa kujadili
namna bora ya kufanya kazi na kuboresha maslahi yao kwa kuanzisha vyanzo vya
mapato
Kwa upande wake Mwenyekiti wa chama
hicho, Charles Masayanyika, alimkahikishia mkurugenzi Kamoga kuwa atafanya kazi
kwa uadilifu kusimamia tasnia ya habari.
Charles Masayanyika Mwenyekiti wa Manyara Press Club, akitoa
taarifa ya chama na kumkaribisha mkurugenzi wa mji wa Mbulu Bi. Anna
Mbogo, kufungua kikao cha waandishi wa habari wa Mkoa wa Manyara
kilichohusu kupitisha katiba ya chama..
Mkurugenzi wa mji wa Mbulu, Bi. Anna Mbogo akizungumza na wanahabari wa mkoa wa Manyara..
Mkurugenzi wa wilaya ya Mbulu vijijini, Hadson Kamoga, akifunga kikao cha wanahabari kilichofanyika wilayani Mbulu..
Wanahabari wakifuatilia jambo kwenye kikao cha kupitisha katiba ya Manyara press klub..

Jengo la Halamshauri ya Mbulu lililotumika kufanyika kikao cha waandishi wa habari..
Picha ya wanahabari Manyara, wakiwa pamoja na mkurugenzi wa mji wa Babati, Bi. Anne Mbogo..
Post a Comment
karibu kwa maoni