0






Uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti mpya wa ccm  Babati vijijini umefanyika baada ya kuwa
umeaahirishwa siku ya ijumaa kutokana na sababu mbalimbali huku mgombea
alieshindwa akikiri  kuwa alitoa rushwa.
Katika uchaguzi huo wagombea walikuwa wawili baada ya mmoja
kujitoa na baada ya kura zote kuhesabiwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo Martha
Umbura akatangaza matokeo ambapo 
Gabriel  alipata kura Lusian
378,na Abdilahi  Sogora akatangazwa kuwa
mwenyekiti kwa kupata kura  399.
Aliyechaguliwa sasa  alikuwa akitetea nafasi yake hivyo ataongoza tena
kwa miaka mingine mitano na kufanya muda aliongoza madarakani kufikia miaka 20.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top