0
Mkuu wa mkoa wa Manyara Dk Joel Bendera amesema katika mkoa wake
atahakikisha anasimamia na kurudisha zao la pamba kama lilivyokuwa  zamani.
Mkuu wa mkoa ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na mtandao huu na kueleza
kuwa zao hilo litalimwa eno la Mwada ambalo lina rotuba nzuri kwa ajili
ya zao la pamba.
Hatua hii ikifanikiwa itakuwa ni  kubwa sana kwa mkoa wa Manyara.
Pamba iliyokuwa inalimwa katika mkoa wa Manyara katika kijiji cha Mwada 
inatajwa kuwa nzuri na bora kuliko pamba zonazolimwa mikoa mingine
Tanzania.


Kama kauli mbiu ya nchi iilivyo,Tanzania ya viwanda,Mkuu wa mkoa Dk Bendera anasema anaunga mkono jitihada zinazofanywa na RaisJohn Pombe Magufuli katika hilo,hivyo kurudishwa kwa zao hilo litawaleta wawekezaji ndani ya mkoa wake wa Manyara

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top