0
Image result for POLE POLE CCMKatibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Chama cha mapinduzi [CCM]  Humphrey PolePole amewaambia wanachama wa Ccm kuwa chama hicho ni cha Haki na Watu hivyo mwanachama yeyote akiona hajatendewa haki anayo haki ya kulalamika ili apatiwe anachostahili.

Katibu mwenezi Humphrey Pole Pole ameyazungumza hayo akiwa mkoani Mwanza wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi mkoani humo.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top