0
Image result for CHADEMA NA CCMMadiwani wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamejiuzulu nafasi zao na kuhamia CCM kwa madai ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika utendaji wake wa kazi.
Madiwani hao ni Joseph Mongita aliyekuwa Diwani wa kata ya Machila pamoja na Mikael Macheba Kunani aliyekuwa Diwani wa kata ya Ikoma.
Wakizungunza baada ya kujiuzulu wamesema kwa kipindi chote walipokuwa Viongozi walikuwa wakitekeleza ilani ya CCM.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top