0
Image result for upepo mkali

Taarifa ambazo WALTER HABARI imezipata kutoka katika kijiji cha Shauri Moyo kata ya Kisangaji wilayani Babati Mkoani Manyara zinaeleza kuwa Upepo mkali uliovuma Jana kwa saa tano umeezua nyumba  za wakazi zaidi ya ishirini na kuwaacha bila makazi.

Akizungumza na WALTER HABARI Diwani wa kata ya Kisangaji Mheshimiwa Adamu Ipingika  amesema upepo huo ulioleta madhara makubwa katika kata yake  ulianza majira ya saa 11 jioni hadi saa 3 usiku.

Msikilize Adamu Ipingika  diwani wa kata ya Kisangaji akizungumzia ajali hiyo.



Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top