0
Image result for yangaYanga katika kuelekea mchezo wao wa kimataifa  habari njema ni kwamba, viungo wake washambuliaji, mzawa Juma Mahadhi aliyekuwa anasumbuliwa na homa, Mzimbabwe Thabani Kamusoko majeruhi wa muda mrefu, Mzambia Obrey Chirwa aliyekuwa anasumbuliwa na maumivu ya misuli wote wamepona.  
    
Na wote wameingia  kambini  katika siku nne nzito za kujiandaa kwa vita ya kuwania tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa.

 
Yanga watakuwa wenyeji wa Township Rollers ya Botswana Jumanne katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa, kabla ya timu hizo kurudiana siku 10 baadaye Gaborone.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top