0
Image result for KALANGA MBUNGEMbunge wa jimbo la Monduli CHADME Julius Kalanga ametumia ukurasa wake  wa Facebook kutoa la Moyoni.
Leo ni siku ya pili Monduli hakuna maji baada ya Tanesco kukata umeme kwenye chanzo cha maji Ngaramtoni kwa deni la TAMISEMI na hali ni tete mlipuko wa magonjwa unaweza kutoka wakati wowote na hasara ikawa kubwa zaidi.
Adhabu hii wanayopewa wananchi kwa kosa la serikali si sawa kabisa.
HAKUNA MWANANCHI WA MONDULI ANAYEDAIWA MAJI.
Serikali ilipe madeni yake kwa tanesco ili wananchi wa monduli waondokane na adhabu isiyohawahusu.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top