0
Image result for amani golugwa
Kipindi cha TUZUNGUMZENA  MANYARA FM kinachoendeshwa na John Walter na Lucas Mondu kimewakutanisha viongozi wakubwa wa CCM  na CHADEMA katika kipengele cha  Sikitiko Langu lililogusa viongozi wanaoahidi na kushindwa kutekeleza ahadi zao.

Katibu wa CHADEMA kanda ya kaskazini  Amani  Golugwa amefunguka na kusema kuwa viongozi wa Chadema wamefanya kazi kubwa ya kutekeleza yale waliyoyahaidi wakati wa kampeni huku akimmwagia sifa mbunge wa jimbo la Babati Mjini Paulina Gekul kuwa ameyatekeleza yale aliyowaahidi wakazi wa Babati mjini.
Golugwa ameeleza kuwa kinachofanywa kwa sasa na Serikali ya awamu ya tano ni mipango ya awamu ya nne.
 Unaweza kusikiliza hapa chini

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top