0
Image result for lhrcMwanasheria wa  Kituo cha Sheria na haki za binadamu Tanzania [LHRC] Tito Magoti akizungumza katika kipindi cha Tuzungumze na Manyara Fm kincachoendeshwa na Mtangazaji John Walter
na Lucas Mondu leo aijumaa april 6.2018 ameeleza kuwa kila mtua anayo haki ya kusema jambo lolote ili mradi asivunje sheria za nchi.
Ameyazungumza hayo kukiwa na wimbi zito la Maandamano yanayoratibiwa kupitia mitandao ya kijamii, maandamano yaliyopangwa kufanyika April 26 mwaka huu huku vyombo vya ulinzi na Usalama vikipinga vikali.
Hata hivyo Tito amesema ‘kila mmoja atimize wajibu wake kwa kuwa kila mmoja anao wajibu wake,raia ana wajibu  na serikali ina wajibu  hivyo serikali  iangalie madai ya dhati ya  wananchi wake.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top