0
Kutoka nchini India takribani watoto 23 wanaripotiwa kufariki dunia baada ya basi la shule kupata ajali baada ya kuacha njia na kudumbukia kwenye korongo la mita 300.
Tukio hili limetokea katika wilaya ya Kangra katiba jimbo la Himachal Pradesh majira ya saa nane mchana wakati wakirudishwa nyumbani kutoka shuleni.
Tofauti na wanafunzi hao watu wengine wanne ikiwa ni walimu wawili, dereva wa basi hilo na mwanamke mwingine wamefariki kwenye ajali hiyo na kutengeneza idadi ya watu 27.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top