Katika
hotuba yake leo katika mkutano wa Bunge la 11 mjini Dodoma Waziri mkuu Kassim
Majaliwa akizungumzia sekta ya madini amesema kuwa serikali imeimarisha usimamizi
katika sekta ya madini ili kuiwezesha sekta hiyo kuchangia kikamilifu katika uchumi
wa nchi.
Aidha amelipongeza
jeshi la kujenga taifa kwa kusimamia ujenzi wa ukuta mererani wenye mzunguko wa kilomita 24.5 kukamilika kwa
wakati.
Post a Comment
karibu kwa maoni