0
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akisalimiana na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Mheshimiwa Edward Lowasa walipokutana kwenye mazishi ya aliyewahi kuwa mbunge wa Monduli Lepilal Ole Molloimet.
 Aliyewahi kuwa Mbunge wa Monduli na Mkuu wa wilaya Mstaafu Luteni Mstaafu Lepilal Ole Molloimet aliyefariki dunia Jumapili iliyopita amezikwa leo wilayani Longido.

Luten Molloimet amefariki dunia kwa ugonjwa wa shinikizo la damu, moja ya viongozi waliohudhuria mazishi hayo ni mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Edward Lowasa pamoja na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.


R.I.P LEPILALI MOLLOIMET.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top