
Na John Walter -Babati Timu ya Fountain Gate FC itakutana na Simba SC katika mchezo wa ligi utakaofanyika Februari 6, 2025, kwenye Uwanja wa Tanzanite, Kwaraa, mjini Babati, mkoani Manyara. Mechi hii ni ya kipekee kwani ni mara ya kwanza kwa Simba SC…