0

Timu ya Wanawake mchezo wa Netiboli Halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara imeshinda kwa mabao 39-12 dhidi ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii  Tengeru mkoani Arusha katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye uwanja wa Tanzanite Kwaraa Mjini Babati.

Babati mji na TICD walikutana na kushiriki michezo mbalimbali kwa lengo la kufahamiana, mazoezi na kudumisha ujirani Mwema.



Post a Comment

karibu kwa maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top