Mwaka 2014 zaidi ya watoto wa shule 276 walitekwa na kundi la Boko Haram
walipokuwa shule na kutokomezwa kusikojulikana, Kundi hilo limewaachia
huru mabinti wengine 21 mara baada ya mapema mwaka huu kuwaachi mabinti
wawili.
Katika mabinti hawa walioachiwa wapo wenye watoto ambao walipewa mimba na wanajeshi hao kutokana na kubakwa kwa nguvu walipokuwa wametekwa.
Mabinti hao walifikia kwa makamu wa RAIS, Osinbajo wa nchi hiyo na walipokelewa na makamu wa Rais na Mke wake

Post a Comment
karibu kwa maoni