0

Mwenyekitiwa Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu(NBAA),Prof. Isaya Jairoakizungumzana Wahasibu kutoka Taasisizaumma nabinafsi waliohudhuria katika hafla yakutoa  tuzo ya Taarifa bora ya Fedha kwa mwaka 2015, katika Kituo cha TaalumayaUhasibu (NBAA) kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

Kamishna Msaidizi wa Sera wa Wizara ya Fedha na MipangoBw. Shogholo Msangi akizungumza na Washindani wa tuzo yaTaarifa boraya Fedha kwa mwaka 2015 kutokaTaasisi za umma na binafsi takribani 56,katika Kituo cha Taaluma yaUhasibu (APC) kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.


Mhasibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Fungu 50,Bw.Christopher Lupama akipeana mkono na Mwenyekiti waBodi ya Taifa ya Wahasibu naWakaguzi wa Hesabu (NBAA), Prof. Isaya Jairo baada ya kukabidhiwa tuzo ya Taarifa nzuri ya Fedha kwa mwaka 2015 kwa upande wa Wizara na Idara zake,katika Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

Mhasibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Fungu 50Bw. Christopher Lupama akipeana mkonona MkurugenziMtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu,Bw. Pius Maneno baada ya kukabidhiwa tuzo ya Taarifa Bora ya Fedha kwa mwaka 2015, ambayo imevuka asilimia 75 kwaubora, katika Kituo cha Taaluma yaUhasibu (NBAA) kilichopo Bunjunje kidogo ya jiji la Dar es salaam.




Baadhi ya Maafisa walioambatana na Mhasibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Fungu 50,Bw. Christopher Lupama,wakipeana mkono na Viongozi wa Serikali na Bodi ya NBAA baadaya kupokea tuzo yaTaarifa bora ya Fedha kwa mwaka 2015,katika Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.


Mhasibu Mkuu Wizara ya Fedhana Mipango Fungu 50Bw. Christopher Lupama, (wapilikulia) akiwakatika picha ya pamojana Maafisa alioambatana nao wakatiwa kupokea tuzo ya Taarifa Bora ya Fedha kwa mwaka 2015,katika Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (NBAA) kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.


Kamishna Msaidizi wa Sera wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Shogholo Msangi akiwa katika picha ya pamoja  na washindi wa tuzo ya Taarifa Bora za Fedha kwa mwaka 2015,katika Kituo cha Taalumaya Uhasibu (NBAA) kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.





Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top