0
Funguka pinga ukatili wa Kijinsia Elimu sawa kwa Wote. Ni kampeni ya siku kumi na sita ya kupinga ukatili wa kijinsia kwa watoto na wakina mama.

Devotha Kazungu anaeshughulika na dawati la jinsia na watoto wilaya ya Babati akitoa Elimu kwa wakazi wa mtaa Nangara ziwani mjini Babati mara baada ya kushuhudia ukatili aliefanyiwa mtoto katika mtaa huo.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top