0
SISI NDO TUNAONGOZA GAME YA hiphop BBT
Respect to number one comedian #KATARINA_KARATU
Kwa sasa Rio anatamba na kibao chake alichomshirikisha Kanal D gaza #NI KISANGA ARIFU.
Ulichokuwa haukijui ni kwamba jamaa huyu ni moja kati ya wasanii waliosaliti madawa ya kulevya mapema kabla agizo halijatolewa na rais Magufuli kuwakamata wote wanaohusika na uuzaji,usafirisahaji na utumiaji wa dawa za kulevya.
Anayo IQ kubwa ya kufikiria na kuandika mashairi yenye ujumbe mzito wa kuteka hisia za mashabiki wa muziki.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top